Msaada wataalamu

SukariTamu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
295
Reaction score
59
Ndugu wanajamvi naomba kuuliza nini madhara ya DEPRESSION?..nawasilisha.
 
Depression!! uwhhhhf , msongo wa mawazo, sononeko la moyo , anguko la moyo! Tatizo ambalo sasa linatukumba vijana wa umri wa kati ,,
Sabb zinazochangia
1 ugumu wa maisha
2 kusalitiwa ( mapenzi , kimaisha , kutapeliwa , ugomvi usioisha hasa wa mapenzi .
Kuhangaika kupata mtoto ( kutokuzaa )
4 upungufu wa nguvu za kiume
5 kuhangaika kutafuta kazi au kufukuzwa kazi.
6 kuondokewa ( kufiwa na mke au mtu wa karibu sana ) tegemeo , au tegemezi
7 kupata magonjwa yasiotibika au yanatosumbua kwa kipindi kirefu,, si haya tu na mengine mengine , lkn haya yanweza kuwa chanzo cha sononeko la moyo, ambalo litanfanya muhusika kupenda kufanya yafuatayo

(a) kutokujipenda mwenyewe ;
(b) mwili kudhoofu kwa kukosa lishe , kwa kutopenda kula.
(c)kujitenga na kuwa na huzuni wakati wote
( d) tabia kubadilika na kuanza kufanya mambo ambayo hakuwahi kutafanya , eg ulevi wa kupindukia , smoking
(e) kuwa mkali , au mpole, kwa jambo dogo au la kuudhi yeye kupuuzia, na nk

Madhara yake
1 kupoteza kumbukumbu
2 ukichaa usiotarajiwa
3 vifo visivyotarajiwa ( kijiua kwa namna yeyote ya kuogofya ,poison , accident. Hang'ing ,
4 au yeye mwenyewe kuuwa .

Ushauri
;; usikae na tatizo ndani ya ubongo wako ( kichwa) jieleze upate ushauri , express uaself , . Thanx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…