Msaada watafsiri ya neno madoido

Msaada watafsiri ya neno madoido

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,332
Ninataka kuelezea uimbaji wa mwanamuziki fulani kuwa anaimba kwa madoido. Si lengi anavyo jibeba kimwili au mbwembwe zake akiwa jukwaani bali anavyoimba kisauti. Wakuu ni neno gani la kingereza linafaa hapa.

Natanguliza shukurani zangu.
 
Back
Top Bottom