Masiya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 7,602 Reaction score 7,332 Oct 3, 2022 #1 Ninataka kuelezea uimbaji wa mwanamuziki fulani kuwa anaimba kwa madoido. Si lengi anavyo jibeba kimwili au mbwembwe zake akiwa jukwaani bali anavyoimba kisauti. Wakuu ni neno gani la kingereza linafaa hapa. Natanguliza shukurani zangu.
Ninataka kuelezea uimbaji wa mwanamuziki fulani kuwa anaimba kwa madoido. Si lengi anavyo jibeba kimwili au mbwembwe zake akiwa jukwaani bali anavyoimba kisauti. Wakuu ni neno gani la kingereza linafaa hapa. Natanguliza shukurani zangu.
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,567 Reaction score 5,323 Oct 3, 2022 #2 Lustrous, majestic