Msaada watalaamu wa Madini

Msaada watalaamu wa Madini

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
476
Habari wakuu haya Madini Aina gani?
IMG_20200510_221714.jpg
 
Duh! kweli maisha yamekuwa magumu. Watu wanaanza kuokota mawe wakidhani ni madini. Mungu tusaidie
 
Hii shuruti ya kuvaa barakoa itaisha lini? Sanitizer zimesababisha makaa ya mawe yaonekane kama madini ya thamani.
 
Ngoja nifuatilie Michango ya WADAU kwa umakini naweza nikajifunza mambo mapya, maana haya mambo ya Madini siyafahamu hata kidogo
 
ulichinja ngo'mbe ukayakuta ndani ya utumbo? kuna jamaa yangu juzi alichinja mbuzi ndani ya utumbo akakutana na kitu kama hiki, hayakua mengi ni moja tu mpaka sasa analo
 
yaweke kwenye jiko uchemshia maharage mkuu. Yanadumu sana hayo kuliko mkaa wa kawaida
 
Back
Top Bottom