Ndokeji JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 698 Reaction score 476 May 10, 2020 #1 Habari wakuu haya Madini Aina gani?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 May 10, 2020 #2 Mkuu hayo ni mawe kama mawe tu
Naanto Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,236 Reaction score 15,677 May 10, 2020 #4 Duh! kweli maisha yamekuwa magumu. Watu wanaanza kuokota mawe wakidhani ni madini. Mungu tusaidie
Mzukulu JF-Expert Member Joined Feb 14, 2020 Posts 1,401 Reaction score 2,641 May 10, 2020 #5 Ndokeji said: Habari wakuu haya Madini Aina gani? Click to expand... Chato Stone Minerals.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 May 10, 2020 #6 Hii shuruti ya kuvaa barakoa itaisha lini? Sanitizer zimesababisha makaa ya mawe yaonekane kama madini ya thamani.
Hii shuruti ya kuvaa barakoa itaisha lini? Sanitizer zimesababisha makaa ya mawe yaonekane kama madini ya thamani.
devor JF-Expert Member Joined Oct 15, 2017 Posts 1,031 Reaction score 925 May 11, 2020 #7 Ndokeji said: Habari wakuu haya Madini Aina gani?View attachment 1446304 Click to expand...
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,558 Reaction score 12,335 May 11, 2020 #8 Almasi hiyo. Sent using Jamii Forums mobile app
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,563 Reaction score 48,223 May 11, 2020 #9 Ngoja nifuatilie Michango ya WADAU kwa umakini naweza nikajifunza mambo mapya, maana haya mambo ya Madini siyafahamu hata kidogo
Ngoja nifuatilie Michango ya WADAU kwa umakini naweza nikajifunza mambo mapya, maana haya mambo ya Madini siyafahamu hata kidogo
Ng'wanapagi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 9,116 Reaction score 8,652 May 11, 2020 #10 Mkuu hata kama ni njaa basi yakwako imezidi Sent using Jamii Forums mobile app
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,033 Reaction score 10,622 May 11, 2020 #11 Ni dhahabu nyeusi, ikitunika sana enzi za nfalme Herode Sent using Jamii Forums mobile app
kigogo warioba JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 6,048 Reaction score 9,398 May 11, 2020 #12 ulichinja ngo'mbe ukayakuta ndani ya utumbo? kuna jamaa yangu juzi alichinja mbuzi ndani ya utumbo akakutana na kitu kama hiki, hayakua mengi ni moja tu mpaka sasa analo
ulichinja ngo'mbe ukayakuta ndani ya utumbo? kuna jamaa yangu juzi alichinja mbuzi ndani ya utumbo akakutana na kitu kama hiki, hayakua mengi ni moja tu mpaka sasa analo
feitty JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 2,594 Reaction score 4,189 May 11, 2020 #13 Comments za watu humu zimenifurahisha sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,760 Reaction score 20,837 May 11, 2020 #14 yaweke kwenye jiko uchemshia maharage mkuu. Yanadumu sana hayo kuliko mkaa wa kawaida