Msaada: Watoto wangu bado wananyonya lakini mke wangu amepata ujauzito mwingine

Msaada: Watoto wangu bado wananyonya lakini mke wangu amepata ujauzito mwingine

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
5,420
Reaction score
7,788
Naishi na mke wangu, tumejaaliwa kupata watoto mapacha wote wa kike wana umri wa mwaka na miezi 10, na bado wananyonya, Ni siku ya 3 sasa tangu mke wangu agundue ana ujauzito wa wiki 3, hatukupanga iwe hivyo lakini ndio imeshatokea.

Ushauri ninaoomba kwenu wataalamu na madokta waJF,

Mke wangu bado alikuwa ananyonyesha ila tangu ajue ni mjamzito amelazimika kusitisha kuwanyonyesha na maziwa yanajaa hadi yanauma, je nini kifanyike ili maziwa yasiendelee kujaa, na kuna madhara gani yanayoweza kumpata kwa kuacha kunyonyesha ghafla?

Je watoto watakua kwenye hatari yoyote kuwa karibu na mama yao na hali aliyonayo bila kudhurika? Na kama ndio, nini kifanyike ili wasidhurike?

Asanteni nawasilisha kwenu wakuu.
 
Naishi na mke wangu, tumejaaliwa kupata watoto mapacha wote wa kike wana umri wa mwaka na miezi 10, na bado wananyonya,
Ni siku ya 3 sasa tangu mke wangu agundue ana ujauzito wa wiki 3, hatukupanga iwe hivyo lakini ndio imeshatokea,
Ushauri ninaoomba kwenu wataalamu na madokta wa jf,
Mke wangu bado alkua ananyonyesha ila tangu ajue ni mjamzito amelazimika kusitisha kuwanyonyesha na maziwa yanajaa hadi yanauma, je nini kifanyike ili maziwa yasiendelee kujaa, na kuna madhara gani yanayoweza kumpata kwa kuacha kunyonyesha ghafla?
Je watoto watakua kwenye hatari yoyote kua karibu na mama yao na hali aliyonayo bila kudhurika? Na kama ndio, nini kifanyike ili wasidhurike?
Asanteni nawasilisha kwenu wakuu.

Sasa mkuu mimba ya wiki Tatu unaachaje kunyonyesha, anyway ethics za kitabibu hazishauri kutoa tiba Au ushauri bila kumuona mhusika na kutake history.. Then nenda kituo cha afya kilichopo jiran nawewe
 
Sasa mkuu mimba ya wiki Tatu unaachaje kunyonyesha, anyway ethics za kitabibu hazishauri kutoa tiba Au ushauri bila kumuona mhusika na kutake history.. Then nenda kituo cha afya kilichopo jiran nawewe

Kwa nnavyoskia kwa watu sio vizuri aendelee kunyonyesha,
Ntaenda pia kituo cha afya kupata ushauri zaidi
 
kama mimba n yakwako haina athari kwa mwanao mwengine, manake wote wana vinasaba sawia
 
iliwah nitokea kwangu!dk akaniasmbia ninyonyeshe had 7mths kumbe hizio ni myth tu za kumuachisha ziwa mtoto!nilimnyonyesha mwanangu had miez hyo7 alikua ana afya nzuri sana sana !hakutetereka! ila kimbemb akizaliwa huyo!utaimba mapambio!....mwache awanyonyesh tu!
 
Watoto wa umri wa mwaka 1 na miezi 10 mbona ndio wakati wao wa kuanza kuachishwa kunyonya...hata isingekuwa ujauzito wa shem hiki ndio kilikuwa kipindi sahihi cha kuanza kufikiria kuwaachisha.

Nadhani hadi sasa mtakuwa mmeshawaanzishia vyakula vingine so taratibu aanze kuwaachishwa japo isichukue wiki nyingi.
 
Mnyonyeshe mtoto wewe acha imani potofu, tunapata tabu kuwashauri wasio na shule vijijini kuhusu hizi imani potofu, hadi nyie wasomi mna iman hizi potofu?
 
Back
Top Bottom