msaada watu wa udom

msaada watu wa udom

mikiray

Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
50
Reaction score
4
jamani mie nmechaguliwa kujiunga udom naomba anaeweza kunsaidia kudowload admission letter no.yangu s0208/0062/2005 jina jenifa hassan.
 
Sasa tukishaidownload utaipataje? coz kuna barua,medical exam form na registration form zinatakiwa kujazwa.
 
jamani mie nmechaguliwa kujiunga udom naomba anaeweza kunsaidia kudowload admission letter no.yangu s0208/0062/2005 jina jenifa hassan.

mi mwenyewe zimegoma kufunguka ila niliwapigia simu wakasema watashughulikia hilo tatizo!vipi umechaguliwa kozi gani Jenifa?
 
nilishatoa angalizo......ni vizuri kutumia firefox ktk kudownload hizo form....huyo aliyetoa uzi hajawa serious tangu jana nilim PM hadi leo kimya.... hakuna tatizo ktk kudownload ila inategemea na browser unayotumia
 
Back
Top Bottom