Msaada waungwana tafadhali.

EEX

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
3,781
Reaction score
12,091
Jamani nina jamaa yangu ambaye yuko Marekani,anataka tufanye naye biashara ya vitu "used" na kwa kuanza tunataka tuanze na tv flat=20,machine za photocopy=8,laptop=15,camera=10,saa za mkoni=100,viatu jordan+air max jozi 100 na simu kama samsung,lg,sony,iphone zitakuwa100.Kwa vitu kama hivyo hapo nahtajika kulipa ushuru?kama ndio vitanigharimu shilingi ngap?.Mimi nahitajika kulipia gharama za kusafirisha mzigo na kodi.Nisaidieni waungwana kwa wale wenye uzoefu na biashara hizi au mnaojua na mimi nijaribu kuutokomeza umasikini.Naweka hoja mezani
 
Weka hapa ankara ya manunuzi, tujue gharama uliyonunulia vifaa vyako. Kodi inakokotolewa kutoka kwenye gharama au thamani ya bidhaa
 
Weka hapa ankara ya manunuzi, tujue gharama uliyonunulia vifaa vyako. Kodi inakokotolewa kutoka kwenye gharama au thamani ya bidhaa
mkuu mi sio mnunuzi ni mpokeaji lakini natakiwa pia pia nichangie gharama za kusafirisha mzigo lakini nimejaribu kwenda dhl na posta nimepata mwanga kidogo.Asante sana mkuu.
 
Ndio mwambie akutumie copy ya ankara ya manunuzi ya vitu vyote, ili gharama za kodi zikokotolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…