Wakuu naomba mnisaidie kunipa shule jinsi ya kurestore OS ya zamani, coz kuna vitu nilivitunza kwenye desktop so nilipoiformat vikapotea na bado navihitaji. Nilliwahi kusikia kuwa inawezekana kuviona tena vitu ulivyoviweka kwenye desktop kwa kufanya maujanja flani, kwa hiyo naombeni msaada wenu wakuu kwa anaefahamu. Os yangu ni windows xp hata ya zamani pia ni hiyohiyo.
Upo mkoa upi?
Unaweza recover all haddisk data kwa kutumia software za data recovery,Lakini itabidi hiyo hdd yenye hizo data unazozitafuta iwe slave. Ni pm email yako nikutumie software itakayokusaidia kufanya kazi hiyo na kama upo Dar basi Ni PM ili tuonane nikusaidie
Pole sana mkuu

Kwanini usiweke hapa ili wengi wapate faidika mkuuUpo mkoa upi?
Unaweza recover all haddisk data kwa kutumia software za data recovery,Lakini itabidi hiyo hdd yenye hizo data unazozitafuta iwe slave. Ni pm email yako nikutumie software itakayokusaidia kufanya kazi hiyo na kama upo Dar basi Ni PM ili tuonane nikusaidie
Pole sana mkuu
Kwanini usiweke hapa ili wengi wapate faidika mkuu