Msaada waungwana

Msaada waungwana

Chachii

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
91
Reaction score
10
Mama yangu anasumbuliwa na mguu, tulivompeleka hosipitali akafanyiwa x-ray na kuambiwa disc ya pingili za mgongo imesogea, wakampa dawa ila bado tatizo halijaisha kama kuna anayejua tiba yake anisaidie.
 
Back
Top Bottom