C Chachii Member Joined Nov 28, 2011 Posts 91 Reaction score 10 Jun 10, 2014 #1 Mama yangu anasumbuliwa na mguu, tulivompeleka hosipitali akafanyiwa x-ray na kuambiwa disc ya pingili za mgongo imesogea, wakampa dawa ila bado tatizo halijaisha kama kuna anayejua tiba yake anisaidie.
Mama yangu anasumbuliwa na mguu, tulivompeleka hosipitali akafanyiwa x-ray na kuambiwa disc ya pingili za mgongo imesogea, wakampa dawa ila bado tatizo halijaisha kama kuna anayejua tiba yake anisaidie.