Habari zenu humu ndani, naomba mwenye majina ya waliochaguliwa ualimu mwaka 2012 pamoja na mwaka 2013 naomba ayaweke au hata akiweka link atakuwa amenisaida sana.Niwatakie jioni njema
Mkuu pitia iz threadS:
>>https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/213609-ajira-mpya-za-walimu-hizooo.html
>>https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/213325-majina-ya-ajira-mpya-za-walimu.html