Msaada wauzaji wa baiskel jumla za Toka japan

Msaada wauzaji wa baiskel jumla za Toka japan

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu naulizia yoyote anaewafahamu wauzaji wabaiskel used Toka japani hizi mtumba za zakawaida zinatumika zaid mikoani..nahitaji kuwajua masupplier wanaouza Bei ndogo na baiskel nzur zaid
 
Ingia alibaba, tafuta supplier hapo.
Kisha nipe kazi ya kukununulia, safirisha na kukufikishiamkoani.
Mkuu huko Sina uwezo wa container alafu huwa nikwakuchagua baiskel zenye unafuu ukiwa unaziona au unadalali wako uko nje anaefanya kazi yakwenda minadani
 
Back
Top Bottom