Habar wakuu naulizia yoyote anaewafahamu wauzaji wabaiskel used Toka japani hizi mtumba za zakawaida zinatumika zaid mikoani..nahitaji kuwajua masupplier wanaouza Bei ndogo na baiskel nzur zaid
Mkuu huko Sina uwezo wa container alafu huwa nikwakuchagua baiskel zenye unafuu ukiwa unaziona au unadalali wako uko nje anaefanya kazi yakwenda minadani