mandingo 94
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 269
- 194
habari ndugu zangu kijana mwenzuni nipo hapa tena.
nisiwachoshe sana wakulugenzi kijana mwenzunu nimedondoka na ombeni muniinue.
nina mpango wakuanzisha offis ndogo amba nita dili na ishu za
kuingiza nyimbo kwenye flash nk.
kufashi simu za tecno huawei itel nk.
sasa waenga wezangu naombeni munguzo wenu kama
pc gani ina nifaa kwa kuazia lakini na bei
aina gani ya program za kuflash simu
mengineo mtakayo nisaidia nitaishimu Asate sana kwa kusoma ujumbe mfupi huu.
Kwa biashara kama hii unatakiwa uwe na computer ya kawaida tu yenye specifications nzuri ili kazi yako iwe na manufaa zaidi,pia usisahau kununua na Subwoofer.
Username mushkeli
Nje ya topic: wewe ni mwanaume au mwanamke?
asate kwa fikra zako ila ulibidi uwangarie profile kwanza ndo unge coment
sawa nimekuelewa jina lisipoteza maana mbona humu kuna watu wanaitwa Mbwa paka k kubwa kijuso kila mtu ana weka jina analopenda kuweka na anajuwa anamaanisha niniKwenye profile umeandika Male, ila hilo jina ulilochagua ni la kike.
Ndo maana nikauliza.
Samahani lakini.
sawa nimekuelewa jina lisipoteza maana mbona humu kuna watu wanaitwa Mbwa paka k kubwa kijuso kila mtu ana weka jina analopenda kuweka na anajuwa anamaanisha nini
nasubili wazo lako kuhu hoja
sawa mim nimejipanga kana k500Mimi siyo mtaalamu wa mambo hayo, ila ninaamini kama ukiweka budget yako watu wangekushauri vizuri sana.
Maana kwenye mambo ya computer kuna used na mpya, kuna specifications tofauti tofauti sana na zinatofautiana bei.
Ni tumaini langu kuwa utafanikiwa.
Sasa Mkuu utajiwe mpaka softwares ina maana bado hujazijua? Tutaanza kukufundisha pia humuhumu ukiwa na wateja?
Tafuta hizo programz then ule tizi ya kutosha kabla hujaanza kufanya kazi za watu.d[/QUOTS. Atafte VCL ,Converter, SMADAV, SEACHER, na Ashampoo burning studio na Visual Dj. Hzo ndio za msingi