Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
Mkuu ni kweli ila solution ni kutumia Prepaid card... Mie natumia ya UBA Bank now inafanya kazi freshWakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.
Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.
Kwa wale wanaofanya online betting kupitia sites kama Bet365 au William Hill, ningependa kujua ni mnatumia cards za bank gani bila usumbufu.
BancABC walisema hata prepaid card yao imekuwa blocked. Hii ya UBA unatumia kwenye forex au betting?Mkuu ni kweli ila solution ni kutumia Prepaid card... Mie natumia ya UBA Bank now inafanya kazi fresh
Haha England team hamna muleVipi Leo England anapiga Ujerumani Ili kulinda heshima yake au atauza kama alivyofanya France Jana? England na Italy win hao wawili TU. Sitaki tamaa.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Na kutoa pesa inakubali ? Niliwahi kutumia kadi ya NBC ikawa inakubali kuweka pesa ila kutoa ikawa inagomaMkuu ni kweli ila solution ni kutumia Prepaid card... Mie natumia ya UBA Bank now inafanya kazi fresh
Kama ni warusi tumia skrill/moneybookers link card yako na skrill then ndo utumie skrill kuweka na kutoa pesa hukoWakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.
Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.
Kwa wale wanaofanya online betting kupitia sites kama Bet365 au William Hill, ningependa kujua ni mnatumia cards za bank gani bila usumbufu.
Ni waingereza mkuu.Kama ni warusi tumia skrill/moneybookers link card yako na skrill then ndo utumie skrill kuweka na kutoa pesa huko
Kwenye betting ndio natumia sana...BancABC walisema hata prepaid card yao imekuwa blocked. Hii ya UBA unatumia kwenye forex au betting?
Mie inakubali kuweka na kutoaNa kutoa pesa inakubali ? Niliwahi kutumia kadi ya NBC ikawa inakubali kuweka pesa ila kutoa ikawa inagoma