Msaada;website gani naweza download vitabu vya petroleum engineering?

KALITHERMAL

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
81
Reaction score
8
Wadau,
wapi naweza pata vitabu vya petroleum engineering kwenye mtandao?
Msaada...
 
Pia unaweza kuingiza title ya material au vitabu unavyovitaka kwenye Gugo au Erick na kusearch utavipata tu. Mkuu hiyo programme inafundishwa hapa nchini?
 
Pia unaweza kuingiza title ya material au vitabu unavyovitaka kwenye Gugo au Erick na kusearch utavipata tu. Mkuu hiyo programme inafundishwa hapa nchini?

Iko UDOM mda mrefu sasa, na UDSM wameianzia mwaka huu..
 
hey samahan bro nilibanwa kidogo nkashindwa kuvituma inahitaji upate mtu akuelezee coz kusoma kivyako itakuwa ngumu kuelewa but unaweza kuniuliza ka utakwama sehem coz nina uelewa na hio kozi
 
KALITHERMAL cheki web zifuatazo: www.libgen.net hapa utapata vitabu vyovyote, ni nzur ukiwa bongo, ulaya itakuwa ishu, Niko France nafanya msc ya same program.....
 
Last edited by a moderator:
andika www.shared.com-free file sharing and storage. then click books. kisha itatokea sehemu ya kuandika vitabu unavyotaka then utaclick search. utavipata hivo vitabu kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…