Kama umeshatumia browser zaidi ya moja basi inawezekama ip yako iko banned. Unaweza kujaribu kutumia proxy kucheki kama tatizo ni ip. Tumia hii ip ya canada (174.142.104.57:3128) mimi huwa naitumia sana kudanganya mahali nilipo.
A. Ku-Set Up Proxy Fuata Haya Maelezo
Ili kujua kama tatizo ni ip kwanza kabisa ondoa cookies na cache zote halafu nenda hii tovuti kuona ip yako
IP Address Geolocation to Identify Website Visitor's Geographical Location
Kama unatumia Firefox 6
1. Nenda "tools" halafu bonyeza options
2. kiboksi kikitokea gonga
"Advanced" (juu upande wa kulia)
3. Chini kidogo utaona tabs nne (General, Network, Update na Ecryption) wewe gonnga
Network.
4. Upande wa kulia utaona
setting button, bonyeza
5. Connection settings itatokea. Natumaini
"No proxy" radio button itakuwa selected. Sasa wewe bonyeza
"Manual proxy configuration" Hivyo viboksi vita kuwa activated.
6. Sasa weka
174.142.104.57 kwenye kiboksi cha kwanza kushoto na
"3128" kulia kwake.
Click OK hicho kiboksi na kile cha kwanza halafu ondoa cookies na caches, halafu jaribu kutembelea
IP Address Geolocation to Identify Website Visitor's Geographical Location kuona kama ip yako imebadilika.Kama imebadilika nenda kutembelea hizo tovuti zako
Kama unatumia Internet Explore
1. Nenda tools halafu chagua
"Internet Options"
2. Katika tabs za juu bonyeza
"connections"
3. pale chini upande wa kulia kuana kiboksi cha
"LAN Settings". Bonyeza kile.
4. Kiboksi kikitokea chagua
"use a proxy server for ypour LAN..."
5. Weka
174.142.104.57 upande wa kushoto na
3128 upande wa kulia. Bonyeza OK viboksi vyote viwili.
6. Jaribu kutembelea hizo tovuti
Click OK hicho kiboksi na kile cha kwanza halafu ondoa cookies na caches, halafu jaribu kutembelea
IP Address Geolocation to Identify Website Visitor's Geographical Location kuona kama ip yako imebadilika.Kama imebadilika nenda kutembelea hizo tovuti zako
** ONYO **
Baada tu ya kumaliza kutembelea hizo tovuti rudisha settings za connection kama mwanzo (yaani bila proxy).
Pia kam utatembelea google wakait umetumia proxy usishangae kukuta homepage ya google inasema "We're sorry but..." hii ni kwasababu hii proxy (IP) ni ya public na watu wengi huitumia kusend automated query google kwahiyo google huwa wanaiban mara kwa mara.
B. Kama bado unatatizo jaribu "diable firewall kama iko ON halafu tembele tovuti zako.
C. kama hii haija saidia angalia hosts file yako kama ina block hizo sites
location ya hosts file
Windows 95 - C:windows
Windows 98 - C:\windows
Windows Me - C:\windows
Windows 2000 - C:windows\system32\drivers\etc
Windows XP - C:\windows\system32\drivers\etc
Windows NT - C:\winnt\system32\drivers\etc
Windows Vista - C:\windows\system32\drivers\etc
kama unakitu kama hiki hapa chini wakati
www.domain-fulani.com ni moja ya hizo domain unazo taka kutembelea futa hako ka line, save hiyo file halafu itembelee.
127.0.0.1
www.domain-fulani.com