Msaada wenu jamani, ni wa haraka sana kwa anayejuwa!

Jben

Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
70
Reaction score
1
Namatumaini yangu ninyi nyote ni wazíma
naomba mnisaidie kwa anayefahamu anuani ya bungen dodoma, nitafurahi sana endapo nitapata msaada. :-D
 
Ingia kwenye website ya bunge. Google tanzania parliament ama bunge la tanzania. Itakuja website. Nenda kwenye contact us. Utapata namba za simu, p.o box na emails.
 
Namatumaini yangu ninyi nyote ni wazíma
naomba mnisaidie kwa anayefahamu anuani ya bungen dodoma, nitafurahi sana endapo nitapata msaada. :-D

Huu ni uzembe wa hali ya juu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…