D dendu Member Joined Mar 7, 2014 Posts 23 Reaction score 0 Mar 7, 2014 #1 je kutokwa na uchafu mweupe mzito mithili ya maziwa mgando ukeni kwa mama mjamzito ni jambo la kawaida au kuna tatizo? msaada wenu plz.
je kutokwa na uchafu mweupe mzito mithili ya maziwa mgando ukeni kwa mama mjamzito ni jambo la kawaida au kuna tatizo? msaada wenu plz.
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Mar 8, 2014 #2 Nenda clinic ndugu, hamna mtu mdhaifu duniani kama mama mjamzito, kuna mambo mengi sana mwili unajitoa mhanga kwaajili ya mtoto. Nenda clinic ukaeleze wala usione aibu.
Nenda clinic ndugu, hamna mtu mdhaifu duniani kama mama mjamzito, kuna mambo mengi sana mwili unajitoa mhanga kwaajili ya mtoto. Nenda clinic ukaeleze wala usione aibu.
D dendu Member Joined Mar 7, 2014 Posts 23 Reaction score 0 Mar 8, 2014 Thread starter #3 DZUDZUKU said: Nenda clinic ndugu, hamna mtu mdhaifu duniani kama mama mjamzito, kuna mambo mengi sana mwili unajitoa mhanga kwaajili ya mtoto. Nenda clinic ukaeleze wala usione aibu. Click to expand... asante kwa ushauri
DZUDZUKU said: Nenda clinic ndugu, hamna mtu mdhaifu duniani kama mama mjamzito, kuna mambo mengi sana mwili unajitoa mhanga kwaajili ya mtoto. Nenda clinic ukaeleze wala usione aibu. Click to expand... asante kwa ushauri