msaada wenu juu ya hili

dendu

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
23
Reaction score
0
je kutokwa na uchafu mweupe mzito mithili ya maziwa mgando ukeni kwa mama mjamzito ni jambo la kawaida au kuna tatizo? msaada wenu plz.
 
Nenda clinic ndugu, hamna mtu mdhaifu duniani kama mama mjamzito, kuna mambo mengi sana mwili unajitoa mhanga kwaajili ya mtoto.

Nenda clinic ukaeleze wala usione aibu.
 
Nenda clinic ndugu, hamna mtu mdhaifu duniani kama mama mjamzito, kuna mambo mengi sana mwili unajitoa mhanga kwaajili ya mtoto.

Nenda clinic ukaeleze wala usione aibu.

asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…