Mkomawatu JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 273 Reaction score 123 May 22, 2014 #1 Ndugu wanaukumbi mimi ni mwalimu wa sekondari nipo Ukerewe Mwanza.Nimepata mtu wa kubadilishana kutoka kilwa masoko.Naomba msaada wenu kwa mnaoyajua mazingira ya mji na shughuli za uzalishaji mali zilizopo.
Ndugu wanaukumbi mimi ni mwalimu wa sekondari nipo Ukerewe Mwanza.Nimepata mtu wa kubadilishana kutoka kilwa masoko.Naomba msaada wenu kwa mnaoyajua mazingira ya mji na shughuli za uzalishaji mali zilizopo.