Msaada wenu kwenye hili la mfumo wa Ajira Portal

yaani kazi wanataka CSE or ACSE certificate
 
hapana sio kweli nimeongea na helpdesk ya psrs
Mimi nilikua na case kama hy ikaonekana nina account mbili , ndio nikaambiwa mtu unahitajika kuwa na account mmoja
Sijui ila kama wamekujibu hvy sawa tuendelee kuamin kila mtu alichojibiwa kwa wakati wake

Kila la kheri mkuu
 
Karibu kurudia tena mana mimi nimefanya kama ivo Na baada ya kupunguza qualifications imekubali
Hivi ina maana ukiitwa kwenye interview huta eleza kabisa kama uliwahi kwenda chuo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…