Shukrani sana(2) Faida ni kua inaondoa nywele,
Madhara kama unatumia kwenye sehemu za siri nakushauri acha, ukisoma maelekezo hata wao wamekwambia ndevu na kwapani tu.
Hasa wanawake, nawashauri sana kutokutumia hizo Hair Remover sehemu za siri kama Veet, Magic, n.k.