uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Kuna mdogo wangu alimaliza kidato chat sita comb PCB with addition of two subjects BAM and GS. Matokeo yake alipata diivision 3 ya point 12 ambapo alipigwa penati ya kufeli BAM na GS. Sasa maswali yako Hivi:
1. Anaomba kufahamishwa utaratibu wa kuyarudia masomo hayo ya BAM na GS kama inawezekana.
2. Je cheti chake baada ya kurudia kitakuwa ni division 2 au division 3 iwapo atakuwa amefaulu masomo hayo?
3. Kama ni hivyo kituo Kipi ni kizuri ajiandikishe yupo hapa Dar es salaam, Sinza ambapo atapata wepesi wa materials na walimu wa kumsaidia gharama sio tatizo.
4. Je hajachelewa kufanya mtihani mwaka huu?
Msaada wenu Wanajamvi