wakuu heshima yenu.
_mi mwenzenu nimeoa ila mke wangu hana hamu ya tendo la ndoa na mimi hashiki ipo juu sana kiasi kwamba kila siku asubuhi na jioni nikipewa nafurahia tu.
_toka nimeoa sijawahi kufanya nje ya ndoa ila sasa naona kama nateseka na namtesa na yeye pia maana siku nataka inabidi nifanye pasipo ridhaa yake hata kama nimemuandaa kiasi gani linapokuja swala la sex akili yake inakuwa haipo kabisa.
_nisaidieni hiyo dawa maana kutoka nje ya ndoa najua madhara yake.
Duh pole sana how come hana hamu na wewe? Mnagombana mara kwa mara au anachoka kazi nyingi?
Lucky woman maskin hajui kucheza na bahati
Duh pole sana how come hana hamu na wewe? Mnagombana mara kwa mara au anachoka kazi nyingi?
Lucky woman maskin hajui kucheza na bahati