Nimesikia kwamba waliomaliza kidato cha nne kuanzia 2008 kurudi nyuma hawapati mkopo, kuna ukweli wakuu? na je kama umefanya mtihani kam PRIVATE CANDIDATES mkopo upo vip?
daah mkuu omba mungu..! Coz vipaombele ni kwa freshers from school waliomaliza form 4 mwaka 2010 and form 6 mwaka 2013 ndo wengine wanafuataaa! So keep praying...!