O Olaph.uk Member Joined Sep 5, 2013 Posts 51 Reaction score 5 Sep 10, 2013 #1 Nimesikia kwamba waliomaliza kidato cha nne kuanzia 2008 kurudi nyuma hawapati mkopo, kuna ukweli wakuu? na je kama umefanya mtihani kam PRIVATE CANDIDATES( FORM 6) mkopo upo vip?
Nimesikia kwamba waliomaliza kidato cha nne kuanzia 2008 kurudi nyuma hawapati mkopo, kuna ukweli wakuu? na je kama umefanya mtihani kam PRIVATE CANDIDATES( FORM 6) mkopo upo vip?