Msaada wenu, nasumbuliwa na Mafua

Msaada wenu, nasumbuliwa na Mafua

brave Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
247
Reaction score
135
Jaman naitaj msaada wenu,miezi miwil xaxa nasumbuliwa na Mafua na maumivu sehemu mbalimbali za mwili, naombeni msaada nn tatizo.
 
Umekwenda hospital kwanza wamekwambia tatizo lake nini?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hiyo ni dalili kuwa kuna shida na kinga zako.yote yawezekana.otjerwise jaribu kuongeza vitamini C .maana yake machungwa yanahusika hapo.

vinginevyo angalia mazingira yako kama una nguo unalala nazo chumba kimoja hazikauki.
 
Umekwenda hospital kwanza wamekwambia tatizo lake nini?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Zaman nlkua nafanya xana mazoez nkaacha nkaanza kufanya kaz ngum ila nazo.pia nliacha nkakaa kam miez 2 tatzo hlo lkaanza doctor alnambia iyo inaweza kua chanzo, "swali kwann mafua na maumivu aya yamekua ya kudumu" mpaka Nshaenda kupima,malaria,urine,HIV lakn pote negative.
 
Hiyo ni dalili kuwa kuna shida na kinga zako.yote yawezekana.otjerwise jaribu kuongeza vitamini C .maana yake machungwa yanahusika hapo.

vinginevyo angalia mazingira yako kama una nguo unalala nazo chumba kimoja hazikauki.
[/QUOTE
Kuhusu ayo maumiv ya sehemu za mwili tatzo ltakua nn, maana n mda natexeka
 
Pole sana, utakua na upungufu wa vinyoleo ndani ya pua...

Ila mafua yasiyokwisha ni dalili za pumu... wahi hospitali...

Cc: mahondaw
 
Bro watu wapo msiban wanaomboleza !
[/QUOTE]

Bro since on Thursday
 
Pole sana!! Mimi naishi nayo toka mwaka 2005 mpaka leo kinacho nipa nafuu ni kunywa maji mengi pamoja na mazoez hasa push up..
 
kapime bro.. nina uhakika 100% ngoma hiyo
 
kapime bro.. nina uhakika 100% ngoma hiyo
Mkuu hivi ndo ilkua
Mara ya mwisho kufanya sex 3/12/2018
Ata ayo mafua yalianza 9/2/2019

Maumivu yalianza 28/2/2019
Majibu ya kipimo
1/2/2019 HIV1/2=negative
3/3/2019 HIV1/2=negative
14/4/2019 HIV1/2=negative
 
Back
Top Bottom