brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
Zaman nlkua nafanya xana mazoez nkaacha nkaanza kufanya kaz ngum ila nazo.pia nliacha nkakaa kam miez 2 tatzo hlo lkaanza doctor alnambia iyo inaweza kua chanzo, "swali kwann mafua na maumivu aya yamekua ya kudumu" mpaka Nshaenda kupima,malaria,urine,HIV lakn pote negative.Umekwenda hospital kwanza wamekwambia tatizo lake nini?
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hiyo ni dalili kuwa kuna shida na kinga zako.yote yawezekana.otjerwise jaribu kuongeza vitamini C .maana yake machungwa yanahusika hapo.
vinginevyo angalia mazingira yako kama una nguo unalala nazo chumba kimoja hazikauki.
[/QUOTE
Kuhusu ayo maumiv ya sehemu za mwili tatzo ltakua nn, maana n mda natexeka
Bro watu wapo msiban wanaomboleza !Jaman msaada wenu mbona mpo kmya
Bro watu wapo msiban wanaomboleza !
Pole sana!! Mimi naishi nayo toka mwaka 2005 mpaka leo kinacho nipa nafuu ni kunywa maji mengi pamoja na mazoez hasa push up..
[/QUOT
Maumivu au mafua
Pole xanaNasumbuliwa na Mafua tu. Na sio maumivu
Daaaaaaaaaah!HIV hiyo
Mkuu hivi ndo ilkuakapime bro.. nina uhakika 100% ngoma hiyo