Msaada wenu natafuta daktari wa ngozi

Msaada wenu natafuta daktari wa ngozi

kanywaino

Senior Member
Joined
Sep 10, 2010
Posts
171
Reaction score
19
Wanajamii naomba mnipemsaada ngozi yangu imetoka mapele nataka kuonana na mtaalamu wangozi atakayenipa sababu zatatizo langu ikiwezekana kama kuna vipimo anipime kabisailinitambue kinachonisibu....
 
Jaribu AAR Hospital pale mjini, Dr anakuwepo alhamisi
 
Back
Top Bottom