Habar za leo
Samahan
Kuna siku mwalimu wa History alikuwa anatufundisha kuhusiana na Nyerere katika harakati za kudai uhuru.
Katk mafundisho yake alisema.
Kulikuwa na mkutano wa chama cha TANU huko Tabora, wakati wanajiandaa kuingia kwenye mkutano kuna mama mmoja alimwamuru Nyerere aoneshe kadi ya chama ndipo aingie kwenye mkutano. Naomben msaada kwa atakae kuwa anajua vizur kuhusu hii, na pia naomba msaada wa jina la huyo mama.