ila unaita sana qeen, umeolewa??? unaweza pia kupata mchumba hapa jamvini!!!!!
any way, all the best
vipo vitu vingine vingi tu vya maana naweza kupata hapa jamvini lkn mchumba kutoka hapa sio my wish!!!asante kwa wazo lako lkn,nipe msaada nilioomba basi kama unajua lolote.
vipo vitu vingine vingi tu vya maana naweza kupata hapa jamvini lkn mchumba kutoka hapa sio my wish!!!asante kwa wazo lako lkn,nipe msaada nilioomba basi kama unajua lolote.
Thanx Nanu!inategemea na nini?hivi huwa wanataka ya mwaka au hata miezi 6 unaweza kulipa?inategemea lakini ni kuanzia laki saba kwa mwezi na kuendele.
la shamba, mwingine aseme.
poa firstlady usijali!lol kweli wewe Akili kichwa ni noma
Dada hapa utapata msaada na hapajaaribika neno mie siko maeneo hayo ulotaja
Inategemea na exact location, quality of the building, owner, mara nyingi wanataka kodi ya mwaka.Thanx Nanu!inategemea na nini?hivi huwa wanataka ya mwaka au hata miezi 6 unaweza kulipa?
nawashukuru wote mlionipa mwanga.ila mbona wanafamilia mmenichunia hadi nahisi kutengwa kwa kutopewa ushirikiano wenu jamani bandugu.
kuhusu shamba morogoro kwa mjini ninayo mawili pale mikese ekari 30 ( nimelima mahindi kidogo mwaka huu) pamoja na kule mgolole kwa masista( kama ekari 17) ...vilevile malinyi nina ekari zisizopungua 80 ,kati ya hizo 50 nalima mwenyewe mpunga ....je unataka ukubwa gani ??? naweza kukuuzia au kukukodisha