Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Hapana sio hivyo mkuuYaaan hapo Kwa kifupi ni kuwa.. kazi zote zinaqualification zinazofanana.. hivyo hata Usaili wa kuwapata watumishi wenye huwezi utakuwa ni mmoja..
Mfano uliomba Ualimu Math basi hata Physics automatic Itakuwa umeomba.. Because kwenye CHETI chako masomo yote hayo yapo(umeyasoma)
mkuu huu mfumo ni tofauti na ule wa tamisemiSina hakika sana na ninachokujib ila jaribu kuomba mkoa mwingne tofauti na huo ulioomba
kumbukumb zangu Kuna jamaa yangu aliwahi kuomba kipindi fulan alikuwa anaambiwa hivyo ikiwa na maana kwamba hiko ulichoomba katika eneo /mkoa tajwa Tayar kishaombwa na wengne haimaanishi wewe
hivyo omba sehem nyngine kwasab hizo nafasi zipo kufidia magap unaweza kuta unaomba physics Shinyanga wakati uhitaji kwa kuzingatiwa walioomba Tayar ushafit
hebu test KATAVI AU LINDI mikoa ambayo Inakwepa sana then ulete mrejesho kimetokea Nini
Duuuuh kama ni hivyo kwisha habari yake aombe Uraia hapo 🤣🤣mkuu huu mfumo ni tofauti na ule wa tamisemi
Hapa ukishaomba utakwambia tayri ushaomba kama ilivyomwambia mdau hapo then hautakuruhusu kuomba tena post hiyo hiyo mpaka yesu arudi😀
Huu mfumo haukwambia wameomba wangapi kama ilivyokua tamisemi ata mkiomba elf 10 post hakuna mahali utakapoona ila ukiomba ww itakuambia comrade ushaomba relax😀😀