Msaada wenu tafadhali.plz

Halima james

Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
32
Reaction score
3
Mm nmehitimu nta 6 financial administration-accounting, so nlikua nataka kuomba degree in statics ya udom au economics in project planning and mgt bt requirement zake zmeandikwa related diploma je? kuna uwezekano wa kupata hizo courses. msaada wenu tafadhali
 
BSc (Statistics) UDOM kwa mtu mwenye Diploma sifa ni hizi: Relevant Diploma with Second Class OR Credit OR B Average. Lakini kwa nini usisomee fani yako - (1) Bachelor of Business Administration (BBA) - Diploma in Accountancy OR Business Administration with Second Class OR Credit OR B Average (2) Bachelor of Commerce in Accounting (BCOM - AC) - Diploma in Accountancy OR Business Administration with Second Class OR Credit OR B Average (3) Bachelor of Commerce in Finance (BCOM - FN) - Diploma in Accountancy OR Business Administration with Second Class OR Credit OR B Average Hii hawahitaji Diploma hoders: Bachelor of Art in Economics and Statistics (BA - Eco. Stat)
 

Mkuu unajua maana ya STATICS ni nin!? Hakunaga bach ya statics..labda kama unasoma physics au engineering ndo utaikuta huko!!
 
mkuu unajua maana ya statics ni nin!? Hakunaga bach ya statics..labda kama unasoma physics au engineering ndo utaikuta huko!!

mkuu huyu ni wa arts na unavyojua mambo yetu siku hizi watu walio wengi neno statistics hulitamka statics na huandika anavyotamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…