Habar wana jf mimi mhitim wa diploma ya mifugo(DAP)2012 Lita madaba songea matokeo distinction,3.5 adv nimesoma PCB nikapata div III.17 nikiwa na principle moja ya bios JE? kwa sifa hizi naweza kusoma moja kati ya kozi zifuatazo kwa level ya bachelor; MD,PHMCY,DD NURSINGu na BVM? lengo langu la kuanisha kozi ni kwa sbb ndizo ambazo bodi ya mikopo hutoa mikopo kwa w2 wenye Diploma nisaidieni nataka ku apply mwezi huu!
NB:MM SIO INSERVICE.