mm naishi mwnyw chumba kimoja, but kama week mbili ivi kaja Uncle na anaumwa kifua kikuuuu so anapata matibabu kwa sasa, bt uck anakohoa kweliiii kias kwamba napata was was kwa kuwa ugonjwa huuu unaenezwa kwa njia hewa haswaaa kukohoa na chafya!!! Sasa napata waswas na mm kuhusu kuambukizwa, je ni mbinu zipi za kuishi na mgonjwa wa kifua kikuu ili mm nisipate maambukizi????
Kama umewahi pata chanjo bhasi huwezi pata tb pia kama huna maambukizi ya ukimwi na hepatitis b unaweza usipate ila kama unayo.....unaweza pata maambukizi