Msaada wenu tafadhari wataalam mwanangu anaumwa homa za mara kwa mara

Wilson Joseph

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
311
Reaction score
275
Habari nawasalim ! Nina mtoto wa kiume umri wake ni miaka 2.3, Tangu kuzaliwa kwake hakua na shida sana ila wakati anavyozidi kukua homa za hapa na pale hazimuishi zaidi kukohoa, Kadi ya Kriniki sasa inaonyesha kwenye grey tumejaribu sana kwa namna zote kumtaftia na kumpa vyakula stahiki sawia na ushauri wa wataalam ila hali bado ipo ivo, Adi saa hii naandika nipo mbali na nyumbani nimepokea simu anaumwa mno kichwa nasubiri kupambazuke niende, Nafaham na nna amini kuna wataalam hapa kwa dhati kabisa naombeni msaada wenu wa kitabibu nimsaidie mwanangu TAFADHARI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…