Msaada wenu tafadhari...

Msaada wenu tafadhari...

Said Seif

Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
5
Reaction score
0
mi nimemaliza 4m 4 mwaka jana na kupata div 4 ya 28 artist engl c,math f,hist d,kisw d,civics d,geo d,bio d. Je naweza pata nafasi vyuo vya kilimo/afya.... Au naomba mnitajie kozi zenye ajira ya haraka sababu ya maisha yangu..... Plz nisaidieni.
 
Kwa marks hizo sidhani kama chuo cha kilimo kitakuchukua hata cha afya pia. Una F ya hesabu, D ya Biology na huja soma Chemistry wala Physics. Kijana rudia form four. This time soma kwa bidii. Hakuna ajira fasta fasta kwa mtu ambaye hajafaulu vizuri. Subiri wengine wakupe mawazo yao pia.
 
Kwa Kilimo au Afya mimi hapa sifahamu sana ila alichokisema BiMkubwa hapo juu inawezekana ikawa ni kweli. Lakini kuna vyuo vingi ambavyo unaweza ukapokelewa kwa matokeo yako kama CBE, TIA, St.Joseph, MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY, IFM n.k hapa pia ktk hivi vyuo kuna COURSE nzuri tu.
 
Back
Top Bottom