K KITWANGAUTAM Member Joined Jan 19, 2013 Posts 80 Reaction score 18 Apr 12, 2013 #1 Ndugu wana Jf naomba kujuzwa juu ya hili, unakuta kunamjumbe walati anachangia hoja katika tread mwisho anasema nitaku 'PM' mim binafs sielewi huwa wanamaanisha nin...tafadhali naomba kujulishwa
Ndugu wana Jf naomba kujuzwa juu ya hili, unakuta kunamjumbe walati anachangia hoja katika tread mwisho anasema nitaku 'PM' mim binafs sielewi huwa wanamaanisha nin...tafadhali naomba kujulishwa
lonewolf ranger JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 476 Reaction score 149 Apr 12, 2013 #2 inamaanisha private massage!
K KITWANGAUTAM Member Joined Jan 19, 2013 Posts 80 Reaction score 18 Apr 12, 2013 Thread starter #3 lonewolf ranger said: inamaanisha private massage! Click to expand... Nashukuru mkuu..lakin unaweza kum PM vp mtu wakati kwenye page hakuna option hiyo?
lonewolf ranger said: inamaanisha private massage! Click to expand... Nashukuru mkuu..lakin unaweza kum PM vp mtu wakati kwenye page hakuna option hiyo?