Msaada wenu tafadhari

Msaada wenu tafadhari

Farida rajabu

Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Farida, hellow naombeni msaada kuhusu haya matokeo japo nimechelewa
hstry f
eng d
kisw c
geo d
civ c
math f
biology c, je anaweza soma kidato cha tano au nifanye nini?
 
Farida, hellow naombeni msaada kuhusu haya matokeo japo nimechelewa
hstry f
eng d
kisw c
geo d
civ c
math f
biology c, je anaweza soma kidato cha tano au nifanye nini?

Ndio anaweza.....credit 3 tayari anazo!!!
 
Yeah!amepata 3 credits ,hivyo anazo sifa za kusoma kidato cha tano!!...mtafutieni shule asome ama HGK,HGL au HKL!

Ila ajitahid sana kukaza kwenye history hapo!!
 
tayari anasifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita kwa kuwa na credit 3, anaweza kusoma kidato cha 5 bila shaka
 
Back
Top Bottom