Davy2 Member Joined Feb 4, 2012 Posts 79 Reaction score 7 May 13, 2013 #1 Habari wana jamii, naombeni mniambie hivi mtu anaruhusiwa kujiunga na open university kama ndo ana mwaka mmoja kazini? alihitimu dip ya ualimu mwaka jana now ameajiliwa.
Habari wana jamii, naombeni mniambie hivi mtu anaruhusiwa kujiunga na open university kama ndo ana mwaka mmoja kazini? alihitimu dip ya ualimu mwaka jana now ameajiliwa.