Mimi kijana naishi mkoa wa Kagera naomba ushauri nina Mtaji wa Milioni Moja nimeplani kufanya bihashara ya Internet cafe je inawezekana kwa mtaji wangu na kama haiwezakini ni bihashara Gani naweza kufanya kwa kiasi kidogo cha fedha nilicho nacho.
Ushauri Tafadhari.