Msaada wenu tafadhari

Lauma Raj

Senior Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
129
Reaction score
14
mke wangu ana matatizo haya;
01- kutokwa na vipele ndani na nje ya "uke".
02- ki mkojo mkojo cha mara kwa mara kikiambatana na
maumivu wakati wa kukojoa na hauwi mwingi.
Ila hali hii inatokea baada ya kujamiiana,
naweza sema kwa baadhi ya style japo hatujaifahamu,
kwa sababu sio kila tunapokutana humtokea hali hiyo.
03- hajapata hedhi toka alipojifungua tar 01-04 mwaka huu,
je ni kawaida au kuna tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…