WAKUUU.POLENI KWA MAJUKUMU YA KILA SIKU.
COMPUTER YANGU INANIANDIKIA UJUMBE HUU "you may be a victim of counterfeiting.This copy of windows doesnt pass genuine windows validation".
Je nifanyeje ili kuondoa tatizo hili. Asanteni.
Zinakili data zako katika cd/dvd/external hd kisha ndio uipige chini hiyo windows. Kuna kaprogram kinachoweza kuondoa hiyo meseji lakini sikushauri hivyo kwani utakosa updates za windows sababu hiyo window ni fake