msaada wenu tafadharini!!!

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
pole na mishughuliko ndugu na jamaa,naomba niende moja moja kwenye hitaji.
nimepata nafasi ya kusoma diploma ya horticulture chuo cha kilimo Tengeru Arusha,reporting date mwisho tarehe 15/09/2013,ingawa matokeo yalichelewa kuwekwa kwenye website ya wizara bado halinisaidii ila tatizo naitegemea pesa yangu ya nssf kwani nimeacha kufanya kazi ili nikasome,tatizo nssf wamenipa tarehe mpaka jumatatu 16/09 ambayo itakua mbele kwa muda wa kuripoti chuo na nimejaribu kuwasiliana na chuo kwa kufika chuoni ila mkuu wa chuo sikumkuta mpaka jumatatu ndipo atakuwepo chuon,sasa waungwana kuna uwezekano kwa vyuo[vya serikali]kumuongezea mwanafunzi muda wa kuripoti chuoni?na kama linawezekana taratibu zipi nizifuate?
msaada wenu ni wa muhimu sana kwangu,ahsante
 
pole xana kwa usumbufu ulioupata.cha muhimu we subiri kwanza nssf wakutoe ndipo uende mana ukienda mikono mi2pu watazuia
 
pole xana kwa usumbufu ulioupata.cha muhimu we subiri kwanza nssf wakutoe ndipo uende mana ukienda mikono mi2pu watazuia

nikisubir nikaenda si ndio hawatanielewa kabisa ndugu,dah nahofia kuikosa nafasi ndugu
 
ukienda mikono mitupu hawatakupokea.kama unabisha nenda.kaa ujue ya kwamba "mkono mtupu haulambwi"hivy huwezi kusoma bur
 
ukienda mikono mitupu hawatakupokea.kama unabisha nenda.kaa ujue ya kwamba "mkono mtupu haulambwi"hivy huwezi kusoma bur

nimekuelewa ndugu ninachokuuliza mimi je nikichelewa kwenda dates zkapita,jina halitafutwa??!huchukua muda gani mpaka mtu nafasi yake kufutwa??pia napenda nikienda niwaombe ruhusa ya kuchelewa mpaka nipate pesa c kwenda kuanza masomo,swali kuna uwezekano huo wa kupewa muda?
 
Watakupokea tu ila inabidi ukawaeleze ukweli na kama utaweza uwaonyeshe na document za NSSSF nadhani watakupokea tu
all de best..!!
 
Watakupokea tu ila inadidi ukawaeleze ukweli na kama utaweza uwaonyeshe na document za NSSSF nadhani watakupokea tu
all de best..!!

thanx ndugu nitafika chuo juma3 asubuhi nikitoka ndio niende nssf maana nako pia nahitajika juma3,thanx a lot ndugu na nitarudisha ripoti hapa ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…