msaada wenu.: teaching ed

msaada wenu.: teaching ed

Davy2

Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
79
Reaction score
7
habari wanajf, hivi kuna uwezekano
wa mwl wa diploma kuchukua degree
ya kozi nyingne tofaut na education
kama accountancy au civil engnerng?
Msaada wenu tafadhar
 
Haiwezekani mkuu, na ndo maana pia kuna postgrdt hii husaidia watu kubadili fani,na ww huna degree hvyo huwez kusoma pstgrdt ok.
 
Inawezekana tumia matokeo ya kidato cha sita kufanya application'
 
tembelea tcu guide book 2014/15 pale utapata kila kitu
 
habari wanajf, hivi kuna uwezekano
wa mwl wa diploma kuchukua degree
ya kozi nyingne tofaut na education
kama accountancy au civil engnerng?
Msaada wenu tafadhar
Wanaokuvunja moyo hawajui wanachokiongea humu....

Inawezekana kabisa ukaanzia level ya "Certificate" fani yoyote kwa kutumia CSEE results. Pili unaweza kuanzia level ya "Diploma" fani yoyote ukitumia sifa ya "ACSEE" ilimradi tu uwe na vigezo vya ufaulu...

Mimi mwenyewe nina fani 3 tofauti, mbili nina Advance Diploma kwa mbinu hiyo hapo juu na moja level ya Masters. Hii ya Masters niliianzia level ya Diploma kwa kutumia sifa ya ACSEE wakati nikiwa kazini na professional nyingine. Na ndiyo ninayoipenda mno na kuiniingizia kipato kizuri kwani imenipa mwanya mkubwa wa kufanya kazi binafsi baada ya muda wa ofisi.
 
asante sana mkuu mana ninawaza sana kuhusu hlo
 
asante sana mkuu mana ninawaza sana kuhusu hlo
Tuko pamoja mkuu, kaza buti katika chaguo la moyo wako kila kitu kinawezekana chini ya jua, binafsi huwa ninaamini nimeshindwa siku nitakaporudi mavumbini tu!!...
 
inawezekana sana nimeshudia wanasheria wengi walikuwa waalimu
Mkuu hata marafiki zangu Wahasibu, Human Resource Officers wengi ninaowafahamu wanasema walipitia Ualimu...

Walimu ambao sasa ni wahasibu wanasema walikacha kufundisha na kurudi vyuoni wakati ule J.J Mungai alipofuta masomo ya Biashara Sekondari, sasa wanakula maisha mitaani... walimu wengine badala ya kuandamana kudai maslahi kama umri unaruhusu ni vyema wakautumia muda huo vizuri....wanasubiri nini?
 
ndugu yangu wew hujanielewa, cna sifa za a_level ila nataka ku2mia diploma ya education. Nahic xax utakuwa umenielewa
Uwe mkweli tu, una maana A LEVEL ulifeli lakini ukajiunga na chuo cha Ualimu ukapata Stashahada, au siyo?
 
Back
Top Bottom