msaada wenu unahitajika

mitutwe pazi

Senior Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
150
Reaction score
28
mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato nne mwaka 2012, nikafanya mtihani na kufanikiwa kupata matokeo haya hapa
Civ-D Kisw-C Geo-D Eng-D lit eng-D Hist-C Bios-C Phy-D Chem-D Math-F
Sasa naomba kuuliza kwa matokeo hayo ni kweli naweza kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa combination ya HKL...though it was not my first priority combination, my first priority combination was HGL, This HKL was the fourth priority combination.
Natanguliza shukrani..!!
 
Labda private school kwa sababu una four ya 26 tayar hujafaulu labda watoe nafas za upendeleo kutokana na upungufu wa waliofaulu
 
Ndiyo mkuu nimeandikiwa nina III ya 25

dah wamekosea kwa sababu ukiwa na f ya maths lazima waihesabu kwa mfano angalia ukiwa na c nne,d tatu na f moja ya maths ndo unakuwa na iii25 mtu wangu omba mungu wasije wakayabadilisha ila wasipogundua utaenda form v.muombe mungu sana
 
Hapana mkuu nina III ya 25
we ndugu yangu 3 ya wapi hiyo kama necta walikuandikia 3 basi wamekose maana civ na math lazima wakuhisabie katika masomo saba hasa we ndugu yangu math umepiga f hiyo 3 ya 25 inatokea vp angalia mahesabu haya 3+3+3+4+4+4+5=?
Haya nipe jibu hapo ngapi ndugu yangu
 

Ndiyo ndugu hii ni 26 lakini sifahamu wao mahesabu yao walilenga wapi, au ni kwa sababu ya hilo somo la literature kwa sababu ndugu kama utaangalia wengi wa mwaka huu hawajapigwa peneti ya hilo somo la math
 
Ndiyo ndugu hii ni 26 lakini sifahamu wao mahesabu yao walilenga wapi, au ni kwa sababu ya hilo somo la literature kwa sababu ndugu kama utaangalia wengi wa mwaka huu hawajapigwa peneti ya hilo somo la math

kwel necta kizunguzungu
 

Mkuu wangu Sheko we umesoma enzi za wakina kawawa nini? Siku hizi wanahesabu masomo 7 tu uliyofahuru.
 
Last edited by a moderator:
kwel necta kizunguzungu

Hebu tizameni hapa tu ndugu, huyu nilimaliza nae ana III ya 25 amepata kama ifuatavyo..
Civ-D Hist-D Geo-D LIterature-C Kisw-C Eng-C Bios-D math-F Comm-F B/k-F

Na huyu nae ana IV ya 26 amepata kama ifuatavyo
Civ-D Geo-D Hist-C E/D/Kslam-D Kisw-C Eng-D BIos-D Math-F COmm-F B/K-F

Haya hapo wandugu niambieni hiyo penati ya hesabu imetoka wapi
 

kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…