gumboot JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 263 Reaction score 93 May 30, 2014 #1 Habari wanajamvi, Mimi nina mtoto wangu yuko hatua za mwisho za kujifungua, ila anadalili za kutapika na kushuka pressure, Pia nimeambiwa mtoto kajisaidia haja kubwa nabado yupo anasubiri process, tunaweza kumsaidiaje . Tayari nimempeleka hospitali.
Habari wanajamvi, Mimi nina mtoto wangu yuko hatua za mwisho za kujifungua, ila anadalili za kutapika na kushuka pressure, Pia nimeambiwa mtoto kajisaidia haja kubwa nabado yupo anasubiri process, tunaweza kumsaidiaje . Tayari nimempeleka hospitali.
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 May 30, 2014 #2 Huko hospitali watamfuatilia kwa yaliyo bakia,kama mpaka hajakubwa ishatoka ujue chombo kipo njiani kinakaribia kuwasili…karibuni utaitwa babu fulani!!!
Huko hospitali watamfuatilia kwa yaliyo bakia,kama mpaka hajakubwa ishatoka ujue chombo kipo njiani kinakaribia kuwasili…karibuni utaitwa babu fulani!!!
gumboot JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 263 Reaction score 93 May 30, 2014 Thread starter #3 gorgeousmimi said: Huko hospitali watamfuatilia kwa yaliyo bakia,kama mpaka hajakubwa ishatoka ujue chombo kipo njiani kinakaribia kuwasili…karibuni utaitwa babu fulani!!! Click to expand... Asante kwa ushauri
gorgeousmimi said: Huko hospitali watamfuatilia kwa yaliyo bakia,kama mpaka hajakubwa ishatoka ujue chombo kipo njiani kinakaribia kuwasili…karibuni utaitwa babu fulani!!! Click to expand... Asante kwa ushauri
mkuzi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 1,627 Reaction score 1,459 May 30, 2014 #4 umempeleka hospitali gani? manake hizi hosp za kata hizi naziogopa nenda tafuta haswa speacilist wa wamama
umempeleka hospitali gani? manake hizi hosp za kata hizi naziogopa nenda tafuta haswa speacilist wa wamama