Msaada wenu wa Haraka Tafadhali

Msaada wenu wa Haraka Tafadhali

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ninahitaji kubadilisha Signature. Ambayo nimekuwa natumia miaka yote naona ipo complicated na mimi nimeanzisha kampuni natakiwa sometimes nisaini docs nyingi.

So nasign mpaka signature inabadilika na ninachoka sipendi kuwa nasign sana.

Nahitaji kubadili signature niwe nayo moja simple tu ambayo hata nikisaini mara 20 itabaki the same.

Naomba kujua mchakato wa kubadili signature na kama una some cost pia ni vizuri nikifahamu.
 
Back
Top Bottom